Siku hii, Oktoba 29, 2019 imekuwa ni siku ya Taarifa mbaya, Taarifa ya Kufariki Dunia Mwalimu Mstaafu Z. Billu huko Bugando Hosp Mwanza. Nimekumbuka jinsi Mzee huyu alivyonipokea na kunilea vizuri, Nimekumbuka jinsi Mzee huyu alivyokuwa na uelewa mzuri wa kazi ya Ualimu akiwa miongoni mwa Walimu Ma-Gredi A wa mwanzo, nilipofanya naye kazi, yeye akiwa Mratibu Elimu Kata wa Kata ya Kiloleli nami nikiwa Mwalimu Mkuu katika Shule ya Msingi Kiloleli Wilayani Kishapu (1991-1993) Mapenzi ya Mungu yametimia, Bwana alitoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe, Amen! #Maziko yanatazamiwa kufanyika Jumamosi Novemba 02, 2019 nyumbani kwake Nhobhola, Talaga Wilayani Kishapu.

View on Instagram http://bit.ly/2JvJ9Tu Continue reading Siku hii, Oktoba 29, 2019 imekuwa ni siku ya Taarifa mbaya, Taarifa ya Kufariki Dunia Mwalimu Mstaafu Z. Billu huko Bugando Hosp Mwanza. Nimekumbuka jinsi Mzee huyu alivyonipokea na kunilea vizuri, Nimekumbuka jinsi Mzee huyu alivyokuwa na uelewa mzuri wa kazi ya Ualimu akiwa miongoni mwa Walimu Ma-Gredi A wa mwanzo, nilipofanya naye kazi, yeye akiwa Mratibu Elimu Kata wa Kata ya Kiloleli nami nikiwa Mwalimu Mkuu katika Shule ya Msingi Kiloleli Wilayani Kishapu (1991-1993) Mapenzi ya Mungu yametimia, Bwana alitoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe, Amen! #Maziko yanatazamiwa kufanyika Jumamosi Novemba 02, 2019 nyumbani kwake Nhobhola, Talaga Wilayani Kishapu.