HUU SASA NI MSOTO, YAANI _ _ _ !

Ni jambo linalokera sana kuingia siku ya saba katika hali ya kukatika kwa huduma ya maji hapa Manispaa ya Shinyanga.
Kanda zinazoathirika zaidi ni zile zisizopata maji kupitia mtandao wa chanzo cha maji ya Ning’hwa kv kanda ya Bugweto Mashariki ambayo hadi leo haijapata maji kwa siku saba mfululizo.
Wadau wa maji wanaweza kuhoji juu ya kiwango cha ubora wa mtandao wa maji toka Ziwa Victoria kwani jambo la kukatika kwa maji ya chanzo hicho limekuwa ni ada na hii ni kero kubwa sana na ni mateso kwa familia zetu.
Hili ni tukio kubwa la tatu la kukatika maji kwa miezi hii mitatu ya mwanzo kwa mwaka huu.

Advertisements

One thought on “HUU SASA NI MSOTO, YAANI _ _ _ !

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s