HAYO YAPO NA NDIVYO ILIVYO #PhenomenaOfEssence: Maisha ya Mwanadamu yamejaa Vinyume vya matukio: 1. *Kwenye ndoa, wapo wanaotaka kuingia, wapo wanaotaka kutoka 2. *wapo wanaotamani wangejaliwa kupata wenza waadilifu, wapo waliowapata wanawaghairi na kuwasaliti 3. *wapo wanaotamani kupata watoto kwa udi na uvumba, waliopata watoto wanawatupa na kutoa mimba 4. *wapo wanaotamani wazazi wao wangekuwepo, walionao wanawapuuza, kuwatelekeza na kuwaona kama kero na mkosi 5.*wapo wanaotamani kupata fursa za maisha bora, wapo waliozipata wanazikufuru 6. *wapo wanaotamani kibaba cha unga wapate mlo wa siku, walionazo wanaweka Bill za maelfu ya pesa kulisha mbwa 7. *wapo wenye uhitaji mkubwa wa msaada wa matibabu, walionazo wanasubiri misiba wakatoe msaada wa maziko 😭😭Yapo mengi sana ya ovyo ovyo katika huu uwepo wa Mwanadamu hapa ulimwenguni ⛓️😭😭 #Essence

View on Instagram https://instagr.am/p/CSWVIdkMK6q/ Continue reading HAYO YAPO NA NDIVYO ILIVYO #PhenomenaOfEssence: Maisha ya Mwanadamu yamejaa Vinyume vya matukio: 1. *Kwenye ndoa, wapo wanaotaka kuingia, wapo wanaotaka kutoka 2. *wapo wanaotamani wangejaliwa kupata wenza waadilifu, wapo waliowapata wanawaghairi na kuwasaliti 3. *wapo wanaotamani kupata watoto kwa udi na uvumba, waliopata watoto wanawatupa na kutoa mimba 4. *wapo wanaotamani wazazi wao wangekuwepo, walionao wanawapuuza, kuwatelekeza na kuwaona kama kero na mkosi 5.*wapo wanaotamani kupata fursa za maisha bora, wapo waliozipata wanazikufuru 6. *wapo wanaotamani kibaba cha unga wapate mlo wa siku, walionazo wanaweka Bill za maelfu ya pesa kulisha mbwa 7. *wapo wenye uhitaji mkubwa wa msaada wa matibabu, walionazo wanasubiri misiba wakatoe msaada wa maziko 😭😭Yapo mengi sana ya ovyo ovyo katika huu uwepo wa Mwanadamu hapa ulimwenguni ⛓️😭😭 #Essence