HII NAYO NI KANSA KWA YANGA

Matokeo ya Mechi ya Yanga 1 vs 1 ZANACO ya jana 11/03/2017 katika uwanja wa nyumbani yana uelekeo wa kujirudia kwa KANSA ya kutupwatupwa nje kwa YaNGA katika ushiriki wa MECHI za KIMATAIFA katika hatua za awali kama ilivyo ADA.
Huu waweza kuwa mwisho wa ushiriki wa Yanga kwenye mbio za kuwania Kombe la Klabu Bingwa Barani Africa 2017 kama hawatatumia nguvu nyingi kupita kiasi KUIFUNGA kwa kupata ushindi timu ya ZANACO nyumbani kwao.
Kansa inayohofiwa ni ya kukatwa miguu isipodhibitiwa kwa dhati.

Advertisements

One thought on “HII NAYO NI KANSA KWA YANGA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s