WENYE MAVAZI NA KUNYOA KIBANGIBANGI NAO WAKAMATWE

Ni uwazi usiopingika kuwa jinsi mtu anavyovaa, aina ya mavazi anayovaa na hata jinsi anavyonyoa au kusuka nywele zake ndivyo anavyobainisha hadharani HAIBA yake!
Kwa kuwa kumekuwepo mitindo ya mavazi, kusuka na kunyoa nywele kusikoakisi MAADILI ya KITANZANIA na kuudhalilisha UTU hadharani, hao nao wakamatwe na kuadhibiwa kwa KUUAIBISHA UTANZANIA hadharani. Na ifike wakati watu hao wapimwe AKILI kwani katika afya ya akili ya kawaida ya Binadamu mwenye Utu si rahisi kujiweka katika aibu ya kiwango tunachoshuhudia hadharani hususani kwa vijana wetu wa kizazi cha dotikomu.
SHIME TUISHI KITANZANIA, TUENZI UTANZANIA!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s