KILA SIKU NI SIKU NYINGINE!

Hata kama majina, matukio na mengi mengine yatafanana au kujirudia, siku ya leo na ile ya kesho kamwe hazitakuwa siku ileile!
Kila siku ni siku nyingine kwa kuwa kila siku huhesabiwa kipekee na ndipo huja miezi hadi miaka ambayo huwa umri wa kiumbe!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s