UKWELI UBAKI KUWA UKWELI

Jambo linalosemwa, iwe na Mtawala au mtawaliwa, muumini wa dini au muasi dini, mwanasiasa au mchukia siasa, mwaminiwa au apuuzwaye kama ni lina ukweli, Ukweli ubaki kuwa Ukweli tu na si vinginevyo.
Kuupotosha ukweli ilhali ukweli udhahiri ni sawa na kuficha kidonda kilichovunda na harufu kali ya uozo inayochafua hewa, lazima uumbuke tu.
HALI ni nzuri, ukweli uwe ukweli na HALI ni MBAYA, ukweli ubaki kuwa Ukweli!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s