KIKAO CHA WALIMU WASTAAFU WILAYANI KAHAMA 26-11-2016

UMOJA WA WALIMU WASTAAFU MKOA WA SHINYANGA – WILAYA YA KAHAMA Watakuwa na KIKAO cha Walimu wote Wastaafu waliomo WILAYANI Kahama katika Halmashauri zote tatu:

Ushetu, Msalala na Kahama Mjini.

KIKAO kitafanyika katika ukumbi wa CWT Kahama kuanzia saa 4:00 asubuhi Jumamosi 26/11/2016.

KATIBU wa UMOJA huo wilayani humo Ndg. Abel Kitinga amewataka walimu wastaafu wote kuhudhuria kwa wakati

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s