HAWA NDIO VIONGOZI WA UMOJA WA WALIMU WASTAAFU MKOA WA SHINYANGA NGAZI YA WILAYA-KAHAMA

Uchaguzi wa kuwapata Viongozi wa UMOJA WA WALIMU WASTAAFU MKOA WA SHINYANGA ngazi ya Wilaya ya Kahama umefanyika leo tarehe 09/04/2016 katika ukumbi wa CWT mjini Kahama ambapo wafuatao walichaguliwa: (1). Mwenyekiti: Nkwabi Itongo Masele (Kahama Mjini),
(2). Makamu Mwenyekiti: Mary Nzingula (Msalala),
(3). Katibu: Abel Kitinga (Ushetu),
(4). Katibu Msaidizi: Matesie Mlinda (Msalala),
(5). Mweka Hazina: Rhoda P. Chanzi (Kahama Mjini).
Hawa wataongoza Halmashauri zote tatu za Kahama(M), Msalala na Ushetu ambazo zitajulikana kwa KAHAMA katika ujumla wake.
Mkutano huu ulihudhuriwa na Viongozi wa CWT wa Kahama/Ushetu na kusimamiwa na Katibu wa UMOJA wa Mkoa wa Shinyanga

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.