MTENDAJI WA MTAA WA TAMBUKARELI-SHINYANGA ATUMIA VIBAYA AGIZO LA KUFANYA KAZI

Katika hali isiyo kuwa ya kawaida Mtendaji wa Mtaa wa Tambukareli anaonekana kushindwa kutafsiri maagizo ya Serikali kuhusu Watanzania kufanya kazi muda wa kazi na zuio la vituo vya pombe kufunguliwa asubuhi!
Mtendaji anazuia hata wauza supu na nyama za kuchoma na kumpiga marufuku Mchoma nyama wa Tambukareli asifungue kituo chake wala kuwasha jiko kabla ya saa saba mchana.
HOJA KUU: Je mtu huyu anayechoma nyama na kuuza supu tu na ndicho chanzo chake cha mapato ataishije kwa njia hiyo ya kuzuia asifanye biashara na wateja wake?
-Je Biashara hiyo si kazi halali wakati wa kazi?
-Je Mtendaji huyu anatumia kigezo gani wakati Jamii nzima katika eneo hilo ikishangaa kwani biashara zinaendelea kama kawaida katika maeneo mengine yote ya mji wa Shinyanga?

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s