KWA HILI LA TV LIVE WAKATI WA KAZI, …

Kwa madhumuni ya TV kuonyesha live mjadala Bungeni, kauli "…. ni kuwanyima wananchi haki ya msingi …" imetumika kueleza kundi gani la Jamii?
-Mwalimu yuko darasani wakati huo, anaonaje TV?
-Daktari anasikiliza mgonjwa akijieleza, kuna kuona TV?
-Huyu anapanda mpunga au kupogolea kahawa, wapi TV?
Sasa je, wananchi wanaonyimwa haki na wanaotetewa kwa nguvu kupita kiasi ni hawa wanaoshinda masebuleni kutwa nzima wakihama toka channel hii hadi nyingine bila kuwa na kazi?
Walio kazini muda huo hawana haki hiyo ya msingi na nani mtetezi wao?
KIMSINGI hakuna mantiki kulazimisha Bunge lirushwe live wakati wa kazi.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s