OCTOBER 28, 2015 KATIKA HISTORIA. http://goo.gl/0qFfkJ

Tarehe 28-10-2015 itakumbukwa katika Siasa za Tanzania kuwa ni siku ya KITUKO na TUKIO la Kufutwa kwa Matokeo ya Hesabu za kura za Uchaguzi Mkuu wa Rais wa BMZ, Wajumbe Baraza la Wakilishi na Madiwani Visiwani Zanzibar na Pemba lakini bila kuathiri matokeo ya kura za Rais wa JMT na Wabunge wa Bunge la JMT ndani ya mazingira yaleyale.
Ni kituko pale Mgombea Maalim Seif anapoiamuru Tume ya uchaguzi ZEC imtangaze mshindi mara moja wakati kura zikiendelea kuhesabiwa, Ni kituko kwa kuwa hata kufutwa kwa matokeo hakukupitia utaratibu sahihi. NI TUKIO:
kwa mara ya kwanza matokeo yote yanafutwa, badala ya mahakama kumvua mtu ushindi. NI TUKIO:
Wakati CCM wakiweka matumaini katika MARUDIO ya Uchaguzi, CUF na Mgombea wao wamekataa katakata kurudiwa Uchaguzi na kutaka Maalim Seif atangazwe na kuapishwa kuwa Rais wa BMZ. NI KITUKO:
Kuwa hata wasuluhishi wanaopatikana hawajapata suluhisho la kweli. JAMBO HILI LINAINGIA KATIKA HISTORIA YA ZANZIBAR

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s