UTUMBUAJI MAJIPU, KAULI MBIU HADI KWENYE NDOA!

Katika Serikali ya Dr. J. P. Magufuli ie Serikali ya JMT Awamu ya Tano, Kauli KUTUMBUA MAJIPU imebeba Dhana ya kurejesha NIDHAMU na UADILIFU katika Mfumo wa Utawala wa Sheria kwa kuwaondoa katika Utumishi na Kuwachukulia hatua stahiki wote wanaobainika kuhujumu Maendeleo ya Nchi hii.
Msemo huo wa “KUTUMBUA MAJIPU” umekuwa na mvuto mkubwa kwa Raia wa kawaida hadi kufikia hatua ya kutumiwa na Wanandoa katika KUREKEBISHANA mienendo na matendo katika ndoa zenye MIGOGORO.
Wao wanatumbuana majipu kuwekana sawa si kufukuzana, kweli ni KaziTu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s