MATAMKO@MATAMKO NI MATAKWA YA WANANCHI AU KIKUNDI TU?

Sasa watu wataanza kuelewa cha KIELEWEKE kinachoendelea:
-UKAWA walipiga kelele, kutangaza na kutoa TAMKO kuwa Edward Lowasa ni Fisadi, wakaeleweka.
-UKAWA wamepiga kelele, wakazunguka nchi nzima kumnadi na kutoa TAMKO kuwa Lowasa ni MWADILIFU afaaye URAIS wa Tanzania, wakaeleweka. -UKAWA wamesahau, sasa wanasoma namba kutoka kulia kwenda kushoto, WANATAMKA kupambana na Prof. Muhongo Bungeni kwa kuwa eti uteuzi wake HAWAUKIRI, wakidai yu Fisadi wameeleweka.
Wakati watakapo kuwa wanapekua Ufisadi wausemao, Prof. Muhongo atakuwa kazini kwa vitendo akiwathibitishia Huduma fanisi katika kile anachokisimamia.
Wananchi wataendelea kuelewa zaidi na UKAWA kueleweka!
Jamani, BVR=Matamko, KAMPENI=Matamko, UPIGAJI KURA=Matamko, kuhesabu na kusoma matokeo=Matamko, Bungeni=matamko, Misibani=Matamko. -Matamko kila mahali hata yasikostahili.
Je matamko ni matakwa ya Wananchi au ni kupima nguvu ya Serikali?

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s