SIKU ZA KUELEKEA SIKUKUU, NI ….!

Tukiwa katika msimu wa siku za kuelekea Siku kuu za Noeli na mwaka mpya 2016, kunakuwepo na changamoto kwa Wananchi kupambana na vikwazo vingi kutoka kwa Watendaji na wasimamizi wa sheria.
Uzoefu unatukumbusha kuwa katika kipindi hiki UPINDISHWAJI wa Haki na Huduma stahiki hutawala, watu huonewa mabarabarani, mitaani na maofisini wakigeuzwa MTAJI wa KUWEZESHA manunuzi na matumizi ya KIMATANUZI katika Familia za Washika Dola.
Kwa lugha rahisi, kipindi hiki UONEVU huongezeka kwa lengo la kutengeneza mazingira ya washika Dola kukusanya pesa za kufanikisha siku kuu majumbani kwao kutokana na KUBINYA huduma na KUIBUA visheriasheria.
KHERI KWA KILA MTENDA MEMA.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s