YAHUSU KUPOTEA KWA VITAMBULISHO

Mwalimu Venance Maziku Stephen wa Shule ya Msingi UJAMAA katika Manispaa ya Shinyanga, anatangaza kupoteza vitambulisho vyake vyote kama ifuatavyo:
(1) Kitambulisho cha Kazi ya Ualimu,
(2) kadi ya Benki ya Posta
(3) Kadi ya Uanachama PSPF
(4) Kadi ya Mpiga kura
(5) Kadi ya Bima ya Afya
(6) Kadi ya Uanachama_CWT.
Vyote vimepotea ndani ya Manispaa ya Shinyanga, WikEndi iliyopita.
Kwa Yeyote aliyeviokota au kuwa na taarifa ya mahali vilipo, Naomba tuwasiliane kwa namba:
0765 070 452
0655 070 452
NAOMBA USHIRIKIANO WA DHATI.
——————
Nsolo S. Stephen

Location: Shinyanga, Tanzania.

Labels: Advertisements

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s