DHANA YA UPINZANI: MH. ZITTO KABWE AWEZA KUWA MFANO MZURI!

Katika hoja na dhana nzima ya Upinzani, Mh. Zitto Kabwe (MB), anaonesha mitazamo_jenzi ambayo ni endelevu kwa maslahi ya Wananchi:
-Si king’ang’anizi kwa mambo yasiyo ya msingi,
-Penye kuhitaji kuishauri serikali, ANASHAURI,
-Penye uovu uliofichika, ANAFICHUA,
-Penye jambo lenye utata, hakurupuki, ANATAFITI,
-Kwa tendo zuri la Serikali, habezi bali ANAPONGEZA,
-Kwenye ukweli au udhaifu wenye kujidhihirisha wazi, HUKIRI.
Tumemwona ama kusikia Bungeni, tumeshuhudia Kampeni za Kistaarabu za Chama chake “ACT-WAZALENDO”, Ameonesha ustaarabu wakati wote wa mchakato wa uchaguzi hadi uzinduzi wa Bunge jipya la 11.
Huyu Mbunge ambaye hatumii MAONO, Elimu na Ushawishi wake wa kisiasa kuanzisha VURUGU bali ni Mwelekezi king’ang’anizi.
Katika Maisha haya ya baada ya Uchaguzi, Mh. Zitto Kabwe ni Mfano wa kuigwa na WOTE wenye NIA NJEMA na TAIFA hili.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s