UGOMBEA KWA MKOPO-UKAWA|CCM KUUNGANA TENA?

Kuna kila dalili za UKAWA na CCM kuungana katika kuweka Mgombea wa Kiti cha Urais kwa tiketi ya UKAWA.
Ukweli huu naletwa na tukio la UKAWA kuamua kumpokea Lowasa na kumpa sifa ya uanachama kamili licha ya kuwa umri wake kichama na ndani ya UKAWA haufiki hata mmoja.
Lowasa kwenda UKAWA utakuwa ni ushirikiano wa UKAWA|CCM wa kuboreshana katika uchaguzi kwa MKOPO na kumvisha kada mkongwe wa CCM joho la Ugombea kupitia upinzani.
Kama haya yatatokea, basi utakuwa ni ushirikiano wa kihistoria na wa kipekee!
Ushirikiano wa kusaidiana/kupasiana Wagombea!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s