KUSEMA “HAIWEZEKANI” NI KUCHAFUA MAZINGIRA …….!

Unaweza kushangaa kusikia mjadala eti haiwezekani mwanaume au mwanamke aliye kamili kukosa kibanda cha nje (Mchepuko).
Wanaelezana na kutiana moyo kuwa ni jambo la kawaida kuchepuka na kamwe haiwezekani kuvumilia na kumtegemea mtu mmoja tu kukidhi mahitaji yake.
Eti haiwezekani kuishi siku kadhaa bila tendo la ndoa itokeapo mmoja wao ana matatizo au hayupo, hii ni aina nyingine ya uchafu wa makusudi.
Kuamini kuwa “HAIWEZEKANI” ni kuhalalisha uchafu na uchafuzi wa mazingira ya ndoa.
Eti kwa kuwa HAIWEZEKANI yeye akawa hana, na mimi HAIWEZEKANI! Ni maamuzi mpapaso gizani, wengi yamewapeleka pabaya!
Kutokuwa na KIBANDA CHA NJE ni jambo linalowezekana na lipo tangu zamani. Siku zote, sema “INAWEZEKANA”
Toa maoni yako kuhusu uzoefu wako katika masuala ya mahusiano kwa ngazi ya uaminifu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s