KIKOSI CHA WILAYANI, “KWA SHIDA NA RAHA”

Pichani ni wanakikundi cha “Kikosi cha Wilayani” walipomtembelea Mwanakikundi mwenzao Ndugu Lazaro a.k.a. Mwanajeshi Mstaafu, wa Majengo mkabala na Musoma Food mashineni, mjini Shinyanga siku ya Jumapili tarehe 24/05/2015.
Madhumuni ya ziara hiyo ni kwenda kuhani kufuatia Mwanakikundi huyu kupatwa msiba wa kufiwa na Mama Mkwe wake uliotokana na ajali ya pikipiki kwa kugongana na Tipa huko Salawe, Shinyanga(V) mapema mwezi huu.
Kikundi hiki washiriki zaidi ya ishirini waliokubaliana kuchanga pesa kwa matukio ya raha na huzuni pindi yatokeapo kwa mwanakikundi mwenzao.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s