WARATIBU ELIMU WAKASOME, VINGINEVYO MHH!

Ifuatayo ni kauli ya Serikali kupitia Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) hivi karibuni, “kuanzia Desemba mwakani waratibu elimu wote ni lazima wawe na kiwango cha elimu cha kuanzia Stashahada (Diploma).
Alisema hakuna sababu ya kuwa na mratibu elimu kata ambaye elimu yake ipo chini ya Stashahada, Haiwezekani kuona kuwa mwalimu wa kawaida elimu yake ni Stashada anaongozwa na mwalimu wa chini ya kiwango chake hii ni makosa”
Kwa tamko hilo wapenda U-MEK wasio kuwa na Diploma wameingia katika mtego wa kupoteza Nyadhifa zao.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s