IMEKUWA NI WIKI YA MVUA

SHINYANGA:
Baada ya ukame wa muda mrefu, ukame ulioteketeza mazao mashambani, wiki ya kuanzia Jumapili ya Matawi hadi Jumatatu ya Pasaka, imekuwa ni wiki ya mvua kila siku na kufufua matumaini ya wakulima ya kupata mazao ya jembe la mwishomwisho

Advertisements