NSOLO KUZIKWA LEO 15.01.2015

Wapenzi wa michezo wa mjini Shinyanga watamkumbuka na kumzika kaka yangu, Stephen Mathew Nsolo aliyekuwa Katibu wa F. A. T. (SHIREFA) na Refarii daraja I miaka ya 1980s.
Ratiba ya Mazishi itaanza saa tatu asubuhi nyumbani kwa marehemu, kanisa la mjini saa tisa alasiri kwa adhimisho la misa, na kumalizikia katika makaburi ya Majengo kwa maziko.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.
AMEN.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s