UTARATIBU HUU WA UPIGAJI KURA UNA KASORO.

Kama ilivyo kawaida, wengi wa wapiga kura hupendelea kuwahi vituoni ili wapige kura mapema ili waweze kwenda katika shughuli zao za kujikimu.
Utaratibu unaotumiwa na wasimamizi wa kituo cha kupigia kura cha Viwandani S/M-Manispaa ya Shinyanga wa kuwaita kwa majina wapiga kura kwa kufuata mtiririko wa orodha waliyonayo mezani inakatisha tamaa waliowahi pale lakini majina yao yako mbali. Hali hii si nzuri kwani wengine wanaweza kuondoka na wasipige kura kwa kuona kuwa majina yao hayatafikiwa mapema!

Advertisements

One thought on “UTARATIBU HUU WA UPIGAJI KURA UNA KASORO.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s