HUKO NAKO PRESHA TU.

Wiki hii imekuwa ni wiki ya presha kupanda-shuka kwa wote akina-Mimi na naniii… damudamu, Ni wiki yenye wikendi ya presha tupu!
Kwa akina Yanga na Simba ni 13/12/2014 Jumamosi, presha tupu.
Kwa akina ODC-CHADEMA na CCM ni Jumapili 14/12/2014, presha tupu.
Dawa na vifaa_tiba kwa watakaozidiwa tayari vimeandaliwa katika vituo vyote vya upasuaji wa kuondoa majipu kwenye ubongo.
Jambo la kutia moyo ni kuwa kila mgonjwa tayari kapangiwa tarehe ya kuingia thieta na taratibu zote zimekamilika.
Kheri iwe Nanyi!

One thought on “HUKO NAKO PRESHA TU.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s