WAKAZI WA BUGWETO/WILIGWAMABU_SHINYANGA(M) KUSAMBAZIWA UMEME!

Pichani ni Wakazi wa Bugweto/Wiligwamabu, Kata ya
Ibadakuli_Shinyanga(M), leo wakishirikiana na wapimaji ramani wa njia za usambaziaji wa umeme, kuona na kupewa maelekezo ya awali ya kupokea huduma ya umeme. Hatua ya kuchimba mashimo na kusimika nguzo za umeme itaanza hivi karibuni, na wananchi wametakiwa kufanya maandalizi yote muhimu katika nyumba zao, kufungua mafaili na kujiandaa kwa malipo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s