MGOMBEA_MWENYEKITI WA SERIKALI YA KIJIJI CHA KAZUNI KUPITIA CCM APATIKANA.

Mabula Lusoka amepata kibali cha Wana-CCM wa kijiji cha
Kazuni_Shinyanga(V) kugombea uenyekiti wa serikali ya kijiji baada ya kuwabwaga wenzake watatu kwa kura nyingi na kishindo katika mkutano wa kura za maoni uliofanyika leo 09.11.2014, ukiweka safu nzima ya wagombea katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa tiketi ya CCM, utakaofanyika 14.12.2014.
Matokeo ya kura kwa wagombea kiti cha Mwenyekiti ni k.i.
-kura ‘pigwa 264
-kura -haribika 8
1. Mabula Lusoka 164
2. Charles Gilishi 43
3. Leonald Masunga 37
4. Lugwisha Chalo 12
Mgombea Lugwisha Chalo aliwashangaza watu wengi na Meza ya Usimamizi pale alipotoroka mkutanoni kabla ya kusaini fomu ya matokeo mara baada ya kusomwa matokeo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s