TANZANIA KUFUTA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI-2014

Tangazo la Serikali kufuta mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti, kupitia Waziri wa Elimu Mh. Shukuru Kawambwa, linakugusaje wewe Mwalimu mwenye Cheti ilhali wanaotakiwa sasa ni wale wenye Diploma na Digrii? Linakugusaje pale unapoambiwa sasa usome uöndokane na cheti? Linakugusaje wewe ulietegemea matokeo yako ya kidato cha nne kuwania Ualimu?
HII NDIYO MIFUMO LEGELEGE YA ELIMU Tanzania.
Cheti cha Ualimu sasa NO!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s