SHINYANGA KUSHEHEREKEA NANENANE KWA BURUDANI YA MBIO ZA BASKELI

Kilele cha sherehe ya Siku ya Wakulima NANENANE, kinafikiwa kesho tarehe 08/08/2014 kwa Wakazi wa Shinyanga kushuhudia mapambano ya mbio za baskeli.
Mashindano haya baskeli yataipamba njia nzima ya SHY-KHM.
Mbio kwa wanaume: wataanzia Shinyanga kwenda Kahama na kurudi Uwanjani Kambarage-Shinyanga, ambapo
2. Mbio za wanawake: wataanzia Shinyanga kwenda Isaka(Kahama) na kumalizia uwanjani Kambarage-Shinyanga.
Mashindano yataanzia uwanja wa Kambarage saa moja asubuhi na kutazamwa na umati mkubwa wa watu ambao kwa mapenzi yao watakuwa wamejipanga pembezoni mwa barabara pote kati ya Shinyanga na Kahama.

Related Topic:
http://habarishinyanga.chatguest.com/2014/08/pambo-la-nanenane-2014.html

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s