SIKU YA WAFANYA BIASHARA TANZANIA

Ukiondoa May Mosi ya Wafanyakazi na ile Nane nane ya Wakulima na Wafugaji, LEO ni saba saba siku ya Wafanya Biashara vivyo ikipambwa na maonyesho ya biashara kwa wiki nzima Kitaifa na Mikoa mbalimbali kwa ile inayojali na kuitendea haki siku hii.
Nawatakieni Jumatatu Njema na Maadhimisho fanisi ya siku ya Wafanya Biashara pote Tanzania.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s