MAUMIVU na FURAHA-VIKUMBO TU…

Tuingiapo siku ya 5 ya WC-Br vikumbo vya aidha Maumivu ya kufungwa kwa wababe wa soka duniani ama Furaha ya kuzifunga timu_babe zimedhiri wazi na kuchukua nafasi yake katika nyoyo za wapenzi wa soka kwa kadri ya mapenzi yao kwa timu husika.
Tutamie nini mwisho wa siku?
Mengi mengine mengi yatakuwepo hadi puresha!
Shikilia moyo wako usijekuponyoka!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s