KITABU HAKICHOKI

Kilio cha kitabu kuomba mapumziko baada ya kuzeeka kwa kupekuliwa kurasa kwa miaka nenda miaka rudi hakijasikilizwa na katu
hakitasikilizwa.
Hakijasikilizwa kutokana na umuhimu wake bila kujali kuchakaa, kuraruka na kukakamaa kwa kurasa hizo.
Bila huruma wala shukrani, kurasa hizo mwisho wa yote zinachomwa na kuwashia moto eti ni takataka na uchafu.
Poleni sana akina “My Dear Books”!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s